sw_tn/luk/11/53.md

12 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Habari za jumla
Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi ambapo Yesu alikula katika nyumba ya mfarisayo. Hii mistari inamweleza msomaji nini kilifanyika baada ya sehemu ya habari kuu ya hadithi kuisha "
# Baada ya Yesu kuondoka pale
" Baada ya Yesu kuondoka katika nyumba ya mfarisayo"
# wakijaribu kumtega kwa maneno yake
Hii inamaanisha walihitaji Yesu kusema kitu kibaya ili waweze kumshitaki