sw_tn/luk/11/42.md

16 lines
724 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mnatoza zaka ya mnanaa na kila aina ya mboga ya bustani
" mnatoa moja ya kumi ya mnanaa na mchicha na kila aina ya mboga ya bustani", Yesu alikuwa anatoa mfano wa njinzi mafarisaya walivyo makini katika kutoa moja ya kumi ya mapato yao.
# mnanaa na mchicha
hizi ni kama dawa. Watu huweka kidogo kwenye chakula ili kuipa utamu fulani. Kama watu hawafahamu mnanaa na mchicha, unaweza kutumia majina ya viungo wanayoijua au ufahamu wa jumla wa "viungo."
# na kila aina ya viungo vya bustani
Tafsiri yake inaweza kuwa 1) Kila aina nyingine ya mbogamboga" 2) "Kila aina ya viungo vya bustani" 3) Kila aina ya mimea ya bustani
# bila kuyaacha kuyafanya na hayo mengine pia
"na kila wakati myafanye na hayo mengine pia"