sw_tn/luk/11/11.md

28 lines
937 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kauli inayounganisha
Yesu alimaliza kufundisha wanafunzi wake kuhusu maombi.
# Nani kati yenu...nyoka?
Yesu alitumia maswali kufundisha wanafunzi wake. " Hamna kati yenu...nyoka"
# Mkate
"Mkate" au "Kiasi cha cakula"
# au badalaya samaki, nyoka?
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Au, kama akiomba samaki, hutampa nyoka"
# Nnge
Nge ni kama buibui , lakini ana mkia wenye sumu unao choma. Kama Nnge hafahamiki sehemu unayoishi, waweza kutafsiri kama "buibui mwenye sumu" au "Buibu anayechoma"
# kama ninyi mlio waovu mnajua
"kwa kuwa ninyi mlio waovu mnajua " au "hata japokuwa ninyi ni watenda dhambi , mnajua"
# Je si zaidi Baba yenu wa mbinguni atawapa na kuzidi Roho Mtakatifu ... wamuombao?
Je si zaidi na kwa uhakika Baba yenu wa mbinguni atawapa Roho Mtakatifu ...Yeye? Yesu alitumia maswali tena kuwafundisha wanafunzi wake. "Uwe na uhakika kuwa Baba yenu wa Mbinguni atawapatia Roho Mtakatifu...yeye"