sw_tn/luk/09/61.md

28 lines
827 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nitakufata
"nitaungana nawe kama mwanafynzi" au " niko tayari kukufata"
# kwanza ni ruhusu nikuagae
"kabla sijafanya hivyo, niruhusu niseme kwaheri" au "niruhusu kwanza niwaambie naondoka"
# walio katika nyumba yangu
"nyumba yangu" au "watu wa nyumabani kwangu"
# Hakuna anaefaa kwa ajili ya ufalme wa Mungu
Yesu anajibu mithari kumfundisha mwandamu kwa mwanafunzi wake, Yesu anamaanisha mtu hafai kwa ajili ya ufalme wa Mungu kama anafata watu wa nyuma badala ya kumfata Yesu
# "Atiae mkono wake kwenye jembe
AT: " baada ya kuanza kulima shamba lake" au "baada ya kuanza kuandaa shamba lake"
# akaangalia nyuma
Mtu anaangalia nyuma wakati analima hawezi kuliongoza vizuri jembe pale linapotakiwa kwenda. Wanatakiwa kuwa makini kuangalia mbele ili walime vizuri.
# kufaa kwa
"kufaa kwa" au " kizuri kwaajili ya"