sw_tn/luk/08/24.md

24 lines
649 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bwana mkubwa
Neno la kigriki ambalo limetafsiriwa hapa kama "Bwana mkubwa" siyo neno la kawaida kwa "Bwana mkubwa" hili linahisiana na mtu mwenye mamlaka, na si kwa mtu ambaye anamiliki mtu mwingine. "Bosi" au "Msimamizi" au na neno ambalo linamlenga mtu mwenye mamlaka, kama "Mheshimiwa"
# akaukemea
"alizungumza kwa kasi"
# vikatulia
"upepo na mawimbi wakakoma"
# Imani yenu iko wapi?
Yesu alikuwa anawakemea kwa upole kwa sababu walikuwa hawamwamini kuwa atawajali. "Mlipaswa kuwa na imani" au "Mlipaswa kuniamini"
# Huyu ni nani
"Ni mtu wa namna gani huyu."
# kwamba anaamuru
Hii inaweza ikawa mwanzo wa sentensi chache: "Anaamuru"