sw_tn/luk/07/09.md

16 lines
630 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alimshangaa
"alimshanga akida"
# nawaambia
Yesu alisema haya kusisitiza maajabu ambayo anataka kuwaambia.
# hata katika Israel sijawahi kuona imani kubwa hivi
maana yake ni kuwa Yesu alitarajia wayahudi kuwa na imani kama hii, lakini hawakuwa hivyo. Hakuwatajia wamataifa kuwa na imani ya namna hii, lakini huyu mtu amekuwa na imani hiyo. Unaweza kuongeza taarifa iliyofichika. NI: "sijaona mwisraeli yeyote anaye niamini kwa kiasi kama mmataifa huyu!" (UDB)
# wale waliokuwa wametumwa
Ilifahamika kwamba hawa walikuwa watu waliotumwa na akida. Hii inaweza kusemwa NI: "watu ambao watawala wa Rumi waliowatuma kwa Yesu"