sw_tn/luk/07/06.md

28 lines
934 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# aliendelea kwenye njia yake
"alienda"
# siyo mbali kutoka kwenye nyumba
kauli hasi hizi zinaweza kubadilishwa. NI: "karibu na nyumba"
# Usijisumbue mwenyewe
Akida alikuwa anaongea kwa upole kwa Yesu. NI: "Usijisumbue mwenyewe kwa kuja nyumbani kwangu" au "Sitaki kukuudhi"
# Ingia chini ya dari yangu
Kirai hiki ni nahau inayo maanisha "Njoo ndani ya nyumba yangu." Kama lugha yako ina nahau inayomaanisha "Njoo kwenye nyumba yangu" fikiri kama ina weza kuwa nzuri kuweka hapa."
# sema neno tu
Mtumishi alijua kuwa Yesu atamponya yule mtumishi kwa kusema tu. Hapa "neno" linarejea kuamuru. NI: "toa tu agizo"
# Mtumishi wangu atapona
Neno lililotumiwa kutafsiri hapa kama "Mtumishi" mara nyingi limetafsiriwa kama "Mvulana" inaweza kuonyesha ishara kuwa mtumishi alikuwa kijana mdogo au inaonyesha ufanisi wa akida kwake.
# kwa mtumishi wangu
Neno lililotafsiriwa hapa kama "mtumishi" ni neno la kawaida kwa mtumishi.