sw_tn/luk/05/12.md

32 lines
821 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yesu anamponya mkoma katika mji tofauti ambao hautajwi jina.
# Ikawa
Kauli hii inaonesha tukio jipya katika simulizi.
# mtu aliyejaa ukoma
"mtu alikuwa anaukoma." Hii inatambulisha mhusika mpya kwenye simulizi.
# akaangukia kichwa
"alipiga magoti na kichwa kikagusa chini" au "aliinama mpaka chini" (UDB)
# kama uko tayari
"kama unataka"
# unaweza ukanifanya msafi
ilifahamika kwamba yeye alikuwa anamuuliza Yesu aponywe. Hii inaweza ikasemwa wazi. NI: tafadhali nisafishe, sababu unaweza
# nifanye msafi ... uwe safi
Hii inarejea kwenye usafi wa ibada, lakini ilifahamika kwamba yeye si msafi kwasababu ya ukoma. Yeye hasa anamuuliza Yesu amponye maradhi yake. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "niponye ukoma hivyo nitakuwa msafi ... upone"
# ukoma ukamwacha
"hakuwa naukoma tena" (UDB)