sw_tn/luk/04/28.md

20 lines
751 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Watu wote kwenye sinagogi walijaa hasira waliposikia mambo haya
Watu wa Nazarethi walikosewa sana kwamba Yesu alidondoa maandiko ambayo Mungu aliwasaidia wamataifa badala ya Wayahudi.
# walimlazimisha yeye atoke nje ya mji
"walimlazimisha yeye kuuacha mji" au "alisukumwa nje ya mji" (UDB)
# jabali la kilimani
"ncha ya jabali"
# yeye alipitia katikati yao
"kupita katikati ya mkutano" au "kati ya watu ambao wanajaribu kumuua yeye." Neno "haki" hapa ni sawa na neno "rahisi." Linaashiria kwamba hakuna kilichomzuia yeye kuweza kutembea kupitia mkutano wenye hasira.
# alikwenda sehemu nyingine
"alikwenda mbali" au "alikwenda kwa njia yake" Yesu alikwenda ambako alikuwa kapanga kwenda badala ya ambako watu walijaribu kumlazimisha aende.