sw_tn/luk/04/23.md

28 lines
1002 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa Ujumla
Nazarethi ni mji ambao ndimo Yesu alikulia
# Kwa hakika
"Kwa hakika" au "bila shaka." Huu ni uthibitisho wa nguvu.
# Daktari, jiponye mwenyewe!
Kama daktari haonekani kuwa ana afya, hakuna sababu kumwamini kuwa kweli ni daktari. Wakati watu wanasema mithali hii kwa Yesu, watamaanisha hawakuamini kwamba yeye ni nabii sababu hafanani.
# lolote tulilosikia ... fanya hivyo hivyo kwenye miji ya kwenu.
Watu wa Nazarethi hawakuamini Yesu kuwa nabii sababu ya sifa yake ya chini kama mtoto wa yusufu. Hawataamini isipokuwa waone wao wenyewe akifanya miujiza.
# Ukweli nasema kwenu
"Hii kweli ni hakika." Hii ni kauli ya msisitizo kuhusu kile kinachofuata.
# hakuna nabii anayepokelewa kwenye mji wa kwao
Yesu anaitengeneza kauli hii kwa ujulma ili kwmba awakemee watu. Yeye anamaanisha kwamba wanakataa kuamini taarifa za miujiza yake Kapernaumu. Wao walifikiri tayari walijua yote yanayomhusu yeye.
# mji wa kwao
"ardhi yao" au "wenyeji wa mji" au "nchi ambayo alikulia"