sw_tn/luk/04/12.md

20 lines
950 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hii ilisemwa
Yesu anamwambia Ibilisi kwanini hatafanya kile ambacho Ibilisi amemwabia kufanya. Kukataa kwake kufanya inaweza kusemwa wazi. NI: "Hapana, sitafanya hivyo, kwasababu ilisemwa"
# Hii ilisemwa
Yesu ananukuu kutoka maandiko ya Musa katika Kumbukumbu la Torati. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Musa amesema" au "katika maandiko Musa alisema"
# Usimweke Mungu wako katika majaribu
Maana zinazowezekana ni 1) Yesu hataweza kumjaribu Mungu kwa kuruka kutoka katika hekalu, au 2) Ibilisi hawezi kumjaribu Yesu kuona kama yeye ni Mwana wa Mungu. inafaa zaidi kutafsiri mstari kama ilivyoelezwa zaidi kuliko kujaribu fafanua maana.
# Mpaka wakati mwingine
"mpaka tukio lingine"
# lishamaliza kumjaribu Yesu
Hii haimaanishi kwamba Ibilisi alikuwa kafanikiwa katika majaribu yake - Yesu alipinga kila jaribio. Hii inaweza ikasemwa wazi. Ni: "lishamaliza kujaribu kumjaribu Yesu" (UDB) au "pumzika kujaribu kumjaribu Yesu"