sw_tn/luk/03/15.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama watu
"Kwa sababu watu." Hii inamaanisha watu walewale waliokuja kwa Yohana.
# wasiwasi katika mioyo yao
Udhihirisho huu hapa unamaanisha "fikiria juu yao kwa utulivu"
# Yohana alijibu kwa kusema
Jibu la Yohana kuhusiana na mtu mkuu ajaye ni wazi inamaanisha Yohana siyo Kristo. Inaweza kusaidia kusema hili wazi kwaajili watu wako, kama UDB, inavyofanya. "Hapana, Mimi siye"
# Nawabatiza kwa maji
"Nawabatiza kwa kutumia maji" au "Nawabatiza kwa nyenzo ya maji"
# Haistahili hata kufungua kamba za viatu vyake
Kufungua kamba za viatu ilikuwa ni wajibu wa mtumwa. Yohana alikuwa anasema kwamba yule atakayekuja ni mkubwa kiasi kwamba Yohana hakustahili hata kuwa mtumwa wake. AT: "Hafikii umuhimu hata kulegeza kamba za viatu vyake."
# Viatu
"Viatu vilivyotengenezwa kwa ngozi" au "Aina ya viatu vya wazi vyenye kamba za ngozi"
# Atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto
Huu mfano unalinganisha ubatizo wa kawaida unamleta mtu katika muunganiko na maji kwenye ubatizo wa kiroho unaowaleta katika muunganiko na Roho Mtakatifu na moto.
# Moto
Hapa neno "moto" linamaanisha 1) hukumu au 2) utakaso. Inafaa kuionda kama moto