sw_tn/luk/01/52.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# amewashusha chini wafalme kutoka kwenye enzi zao
Enzi ni kiti ambacho mtawala anakalia, na ni mfano wa mamlaka. Kama mfalme akiondolewa kwenye enzi yake, inamaanisha hana mamlaka tena ya kutawala. NI: "Yeye amechukua mamlaka ya wafalme au "watawala kuacha kutawala."
# amewashusha chini wafalme ... amewainua juu wenye hali ya chini
Kupingana kati ya hali hizi mbili iwekwe wazi katika tafsiri kama inawezekana.
# hali ya chini
"umaskini." Familia ya Mariamu walikuwa siyo tajiri. Angalia livyotafsriwa 1:48.
# amewainua ambao wana hali ya chini
Katika neno picha hili, watu ambao ni wa mhimu wako juu zaidi ya wale ambao si mhimu. NI: "amefanya watu wanyenyekevu kuwa wa mhimu" au "amewapa heshima ambao watu wengine hawakuwaheshimu."
# amewalisha wenye njaa ... matajiri wameondoka bila kitu
Kutofautisha kati ya matendo wawili yaliyo kinyume itengenezwe tafsiri iliyowazi kama inawezekana.
# kashibisha wenye njaa na chakula kizuri
Maana zinazowezekana ni 1) "amewapa wenye njaa chukula kizuri wale" au 2) "kawapa wahitaji vitu vizuri,"