sw_tn/luk/01/42.md

48 lines
1.5 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alipaza sauti ... lisema kwa nguvu
Kauli hizi mbili zinamaanisha kitu kilekile, na zinatumika kusisitiza namna Elizabethi alivyokuwa kasisimka. Zingeliweza kuwekwa katika kauli moja. NI: "liotamka ghafla kwa sauti." (UDB)
# alipaza sauti yake
Nahau hii inamaanisha "aliongeza kiwango cha sauti yake"
# umebarikiwa kati ya wanawake
Nahau "kati ta wanawake" inamaana "zaidi kuliko wanawake wengine."
# matunda ya tumbo lako
Mtoto wa Mariamu analinganishwa na matunda ya mti unaozaa. NI: "mtoto katika tumbo lako" au "mtoto utakayemzaa" (UDB)
# Na kwa nini hii imetokea kwangu kwamba mama wa Bwana wangu aje kwangu?
Elizabethi alikuwa haulizi apate taarifa. Alikuwa anaonesha jinsi alivyoshangaa na alivyokuwa na furaha kwamba mama wa Bwana amekuja kwake. NI: "Jinsi ilivyokuwa ajabu kwamba mama wa Bwana amekuja kwangu!"
# mama wa Bwana
Hii inarejea kwa Mariamu. "wewe, mama wa Bwana wangu." (UDB)
# Tazama
Kauli hii inatuamsha tusikilize kushangaa kwa kauli ya Elizabethi inayofuata.
# aliruka kwa furaha
"lisogea ghafla kwa furaha" au "ligeuka kwa haraka kwa sababu alikuwa na furaha!"
# ilikuja masikioni mwangu
Hii nahau inamaana "nilisikia."
# "amebarikiwa yeye ambaye kaamini
"ninyi mlio amini mmebarikiwa" au "kwa sababu mliamini, mtakuwa na furaha"
# pale pangekuwa na utimilifu wa mambo
"mambo haya yangelitokea kweli" au "mambo haya yangelikuwa kweli"
# mambo ambayo yalisemwa kutoka kwa Bwana kwake
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. " ujumbe ambao Bwana amempa" au "mambo yale uliyo ambiwa na Bwana"