sw_tn/lev/23/17.md

16 lines
595 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumbia Musa yawapasayo watu kutenda
# iliyotengenezwa kutokana na mbili ya kumi ya efa. Ni lazima ifanywe kwa unga laini na uliochanganywa na hamira
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. ; "uliyoitengenza kutokana na mbili ya kumi ya efa ya unga na ulioumliwa kwa hamira"
# mbili ya kumi ya efa.
Takribani lita 4.5. : "lita nne na nusu"
# na kutoa harufu nzuri ya kupendeza kwa Yahweh
Furaha ya Mungu kwa manukato huwakilisha fura furaha yake kwa watu wanaoteketeza matoleo hayo. : "naye Yahweh atapendezwa nanyi" au "impendezayo Yahweh"