# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumbia Musa yawapasayo watu kutenda # iliyotengenezwa kutokana na mbili ya kumi ya efa. Ni lazima ifanywe kwa unga laini na uliochanganywa na hamira Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. ; "uliyoitengenza kutokana na mbili ya kumi ya efa ya unga na ulioumliwa kwa hamira" # mbili ya kumi ya efa. Takribani lita 4.5. : "lita nne na nusu" # na kutoa harufu nzuri ya kupendeza kwa Yahweh Furaha ya Mungu kwa manukato huwakilisha fura furaha yake kwa watu wanaoteketeza matoleo hayo. : "naye Yahweh atapendezwa nanyi" au "impendezayo Yahweh"