sw_tn/lev/15/25.md

12 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# atakuwa kama alivyokuwa kwenye siku zake za hedhi
Hii humaanisha kwamba mwanamke atokwaye damu kutoka kwenye mji wake wa mimba wakati mwingine wowote badala ya ule wa hedhi yake ya kawaida, yeye bado ni najisi kama tu wakati wa hedhi yake.
# Yeye ni najisi...yeyote amgusaye...atakuwa najisi
Tazama maelezo ya sura 13:20
# a kila kitu akaacho juu yake kitakuwa najisi
Tazama maelezo ya sura 13:20