# atakuwa kama alivyokuwa kwenye siku zake za hedhi Hii humaanisha kwamba mwanamke atokwaye damu kutoka kwenye mji wake wa mimba wakati mwingine wowote badala ya ule wa hedhi yake ya kawaida, yeye bado ni najisi kama tu wakati wa hedhi yake. # Yeye ni najisi...yeyote amgusaye...atakuwa najisi Tazama maelezo ya sura 13:20 # a kila kitu akaacho juu yake kitakuwa najisi Tazama maelezo ya sura 13:20