sw_tn/lev/11/24.md

16 lines
610 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaanza kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu wanatakiwa kuwaona najisi.
# Nanyi mtakuwa najisi hata jioni kutokana na wanyama hawa endapo mtagusa mizogo yao
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Miili ya wanya wanyama hawa waliokufa itawafanya nyinyi kuwa najisi kama mtagusa mmojawapo.
# mtakuwa najisi
Mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu kwa sababu amegusa mojawapo ya miili ya wanyama waliokufa anazungumziwa kana kwamba amekuwa si mchafu kimaumbile.
# wanyama hawa
Hii hurejelea wanyama anaotaka kuwaorodheshaa katika mistari inayofuata.