# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaanza kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu wanatakiwa kuwaona najisi. # Nanyi mtakuwa najisi hata jioni kutokana na wanyama hawa endapo mtagusa mizogo yao Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Miili ya wanya wanyama hawa waliokufa itawafanya nyinyi kuwa najisi kama mtagusa mmojawapo. # mtakuwa najisi Mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu kwa sababu amegusa mojawapo ya miili ya wanyama waliokufa anazungumziwa kana kwamba amekuwa si mchafu kimaumbile. # wanyama hawa Hii hurejelea wanyama anaotaka kuwaorodheshaa katika mistari inayofuata.