forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1015 B
Markdown
24 lines
1015 B
Markdown
|
# 9Nyama yoyote igusayo kitu kilicho najisi haitaliwa
|
||
|
|
||
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Hakuna awezaye kula nyama inayogusa kitu fulani kilichonajisi"
|
||
|
|
||
|
# kitu kilicho najisi
|
||
|
|
||
|
Kitu fulani ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kukigusa au kukila kinasungumziwa kana kwamba kilikuwa najisi kimaumbile.
|
||
|
|
||
|
# Ni lazima iteketezwe kwa moto
|
||
|
|
||
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa uiteketeze kwa moto"
|
||
|
|
||
|
# yeyote aliye safi
|
||
|
|
||
|
Mtu mwenye kukubalika kwa kusudi la Mungu anazungumziwa kana kwamba ni mtu aliyekuwa safi kimaumbile.
|
||
|
|
||
|
# mtu yeyote aliyenajisi
|
||
|
|
||
|
Mtu asiyekukubalika kwa kusudi la Mungu anazungumziwa kana kwamba ni mtu aliyekuwa mchafu kimaumbile.
|
||
|
|
||
|
# yapasa mtu huyu akatiliwe mbali kutoka kwa watu wake.
|
||
|
|
||
|
Mtu anayetengwa kutoka kwa jamii yake anazungumziwa kana kwamba amkwisha kukatwa kutoka kwa watu wake, kama vile mtu akatavyo kipande cha nguo au tawi kutoka kwenye mti. : "mtu huyo hawezi kuishi miongoni mwa watu wake" au "yapasa umtenge mtu huyo kutoka kwa watu wake"
|