sw_tn/lam/04/12.md

16 lines
483 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wafalme wa dunia hawaku amini, wala wakazi wa dunia,
"Hakuna mtu popote aliye amini"
# maadui au wapinzani
Haya maneno mawili yana maana moja na yanakazia kuwa hawa ni watu waliyo waliyo tamani kudhuru Yerusalemu.
# dhambi za manabii na maasi ya makuhani
Hii mistari miwili ina maanisha kitu kimoja na kukazia kuwa hawa viongozi wa kiroho walikuwa wanahusika na kuanguka kwa Yerusalemu.
# walio mwaga damu ya wenye haki
Wote makuhani na manabii walikuwa na hatia ya mauaji.