sw_tn/lam/02/05.md

20 lines
447 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amemeza
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:1
# Ameongeza kilio na maombolezo
"Amesababisha zaidi na zaidi watu kulia na kuomboleza"
# binti wa Yuda
Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo hapa la zungumziwa hapa kama mwanamke.
# kajumba cha bustani
jengo dogo la kuhifadhia vifaa vya au kumuhifadhia mtu anaye tunza bustani
# amesababisha kukusanyika na Sabato kusahaulika Sayuni
"amesababisha watu Sayuni kusahau kukusanyika na Sabato"