# Amemeza Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:1 # Ameongeza kilio na maombolezo "Amesababisha zaidi na zaidi watu kulia na kuomboleza" # binti wa Yuda Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo hapa la zungumziwa hapa kama mwanamke. # kajumba cha bustani jengo dogo la kuhifadhia vifaa vya au kumuhifadhia mtu anaye tunza bustani # amesababisha kukusanyika na Sabato kusahaulika Sayuni "amesababisha watu Sayuni kusahau kukusanyika na Sabato"