sw_tn/lam/01/16.md

16 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ninalia
Hii bado ni Yerusalemu anaongea kama ni mwanamke, sasa ana hisia za uzuni.
# Sayuni ametandaza mikono yake
Sayuni ni kama mtu anaye inua mikono yake kuomba msaada. Hapa Yerusalemu hajizungumzii yeye tena, lakini mwandishi anaelezea Yerusalemu.
# hao karibu na Yakob
"watu karibu na Yakobo" au "mataifa yanayo zunguka Yakobo"
# wawemaadui wake
Hapa neno "wake" la husu Yakobo.