# ninalia Hii bado ni Yerusalemu anaongea kama ni mwanamke, sasa ana hisia za uzuni. # Sayuni ametandaza mikono yake Sayuni ni kama mtu anaye inua mikono yake kuomba msaada. Hapa Yerusalemu hajizungumzii yeye tena, lakini mwandishi anaelezea Yerusalemu. # hao karibu na Yakob "watu karibu na Yakobo" au "mataifa yanayo zunguka Yakobo" # wawemaadui wake Hapa neno "wake" la husu Yakobo.