sw_tn/jos/24/32.md

16 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mifupa ya Yusufu ambayo watu wa Israeli waliileta kutoka Misri, waliizika huko shekemu
Mpangilio wa sentensi hii unaweza kubadilishwa hasa sehemu yake ya mwanzo ili kuleta msaada zaidi. "Watu wa Israeli walileta mifupa ya Yusufu kutoka Misri na kuizika huko Shekemu"
# vipande mia moja
"vipande 100"
# Eliazeri
Jina la mwanaume
# Gibea
Hili ni jina la sehemu/mahali