# Mifupa ya Yusufu ambayo watu wa Israeli waliileta kutoka Misri, waliizika huko shekemu Mpangilio wa sentensi hii unaweza kubadilishwa hasa sehemu yake ya mwanzo ili kuleta msaada zaidi. "Watu wa Israeli walileta mifupa ya Yusufu kutoka Misri na kuizika huko Shekemu" # vipande mia moja "vipande 100" # Eliazeri Jina la mwanaume # Gibea Hili ni jina la sehemu/mahali