sw_tn/jos/23/06.md

24 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# msikengeuke upande wa kulia wala upande wa kushoto
Kitendo cha kutotiii maagizo ya sheria za Musa kinasemwa kana kwamba ni kugeuka upande wa kulia au upande wa kushoto mbali na njia sahihi.
# msichanganyikane
Maana zinazokubalika 1)kuwa na urafiki wa karibu nao 2) kuoana nao
# msiyataje
kuyasema
# miungu yao
Hii inarejelea juu ya miungu ya mataifa yaliyosalia.
# kumshika sana Yahweh
"kumshikilia Yahweh kwa nguvu" Kumwamini Yahweh kunasemwa kana kwamba ni kumshikilia kwa nguvu.
# hadi leo
"mpaka muda wa sasa"