sw_tn/jos/21/25.md

16 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kutoka katika nusu ya kabila la Manase, ukoo wa Kohathi walipewa miji miwili - Taanak
Hii inaweza kuelezwa kwa kauli tenda. "Nusu ya kabila la Manesa waliwapa ukoo wa Kohathi mji wa Taahaki."
# Taanaki ...Gathirimmoni
Haya ni majina ya miji
# miji miwili...miji kumi kwa ujumla
Hesabu ya miji iliyoorodhoshwa
# ukoo wa Kohathi... koo za Wakolathi
Makuhani katika kundi hili walikuwa ni wazawa wa mwana wa Lawi aliyeitwa Kohathi. Sehemu yao nyingine walikuwa ni wazawa wa Haruni, ambaye ni mjukuu wa Kohathi.