forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
537 B
Markdown
16 lines
537 B
Markdown
|
# Kiriathi Arba...Debiri...Kiriathi Seferi
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya sehemu/mahali
|
||
|
|
||
|
# Arba...Anaki...Sheshai...Ahimani...Talmai
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya watu
|
||
|
|
||
|
# wana watatu wa Anaki: Sheshai, Ahimani na Talmai, wazawa wa Anaki
|
||
|
|
||
|
Majina haya yanawakilisha koo za watu ambao walikuwa ni uzao wa Sheshai, Ahimani, na Talmai. Maneno "wana' na "wazawa" katika muktadha huu yanamaanisha kitu hicho hicho kimoja. "Koo tatu , Sheshai, Ahimani na Talmai, waliokuwa wazawa wa Anaki."
|
||
|
|
||
|
# Alipanda kutoka pale kinyume
|
||
|
|
||
|
"Alienda kutoka hapo ili kupigana dhidi"
|