# Kiriathi Arba...Debiri...Kiriathi Seferi Haya ni majina ya sehemu/mahali # Arba...Anaki...Sheshai...Ahimani...Talmai Haya ni majina ya watu # wana watatu wa Anaki: Sheshai, Ahimani na Talmai, wazawa wa Anaki Majina haya yanawakilisha koo za watu ambao walikuwa ni uzao wa Sheshai, Ahimani, na Talmai. Maneno "wana' na "wazawa" katika muktadha huu yanamaanisha kitu hicho hicho kimoja. "Koo tatu , Sheshai, Ahimani na Talmai, waliokuwa wazawa wa Anaki." # Alipanda kutoka pale kinyume "Alienda kutoka hapo ili kupigana dhidi"