sw_tn/jos/09/11.md

8 lines
193 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkononi mwako
Kifungu hiki cha maneno kina maana ya "kuchukua" Neno 'mkono' linamaanisha kumiliki vitu vya Wagibeoni.
# mkutane nao na muwaambia
Neno 'nao' linawarejelea watu wa Israeli.