forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
629 B
Markdown
16 lines
629 B
Markdown
|
# Makuhani saba walibeba tarumbeta saba za pembe za kondoo mbele ya Yahweh
|
||
|
|
||
|
Maana zinazoweza kukubalika juu ya "mbele za Yahweh ni 1)"katika utii kwa Yahweh" 2) sehemu ya mbele ya sanduku la Yahweh"
|
||
|
|
||
|
# walipuliza tarumbeta
|
||
|
|
||
|
"Walizipiga tarumbeta zao sana" au "makuhani walipuliza tarumbeta za pembe za beberu"
|
||
|
|
||
|
# Sanduku la Yahweh liliwafuata kwa nyuma yao
|
||
|
|
||
|
Inaweza kuelezwa dhahiri kuwa kulikuwa na watu waliobeba sanduku. au " Makuhani walikuwa wamelibeba sanduku la agano la Yahweh waliwafuata kwa nyuma yao.""
|
||
|
|
||
|
# walipuliza tarumbeta zao
|
||
|
|
||
|
"Walizipiga tarumbeta zao sana" au "makuhani walipuliza tarumbeta za pembe za beberu"
|