sw_tn/jos/06/05.md

12 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Mungu aendelea kuongea na Yoshua juu ya kile watu walichopaswa kufanya
# watapuliza pembe za kondoo waume kwa nguvu kuu,
Kiwakilishi 'wa' kinarejelea makuhani saba. "Pembe za kondoo" na "tarumbeta" ni tarumbeta za pembe za kondoo dume ambazo makuhani walikuwa wakizipuliza katika 6:3
# ukuta wa mji
"Huu ulikuwa ni ukuta wa nje wa mji" au "ukuta uliouzingira mji."