sw_tn/jos/06/03.md

12 lines
403 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Mungu anaendelea kuongea na Yoshua juu ya kile ambacho watu walitakiwa kukifanya.
# Ni lazima mfanye hivi kwa siku sita
"Ni lazima ufanye hivi mara moja kila siku kwa siku sita"
# Makuhani saba lazima wabebe tarumbeta za pembe za kondoo waume mbele za sanduku
Makuhani saba wangetembea mbele ya makuhani wengine ambao walikuwa wanalibeba sanduku na kutembea kuuzunguka mji.