# Sentensi kiunganishi Mungu anaendelea kuongea na Yoshua juu ya kile ambacho watu walitakiwa kukifanya. # Ni lazima mfanye hivi kwa siku sita "Ni lazima ufanye hivi mara moja kila siku kwa siku sita" # Makuhani saba lazima wabebe tarumbeta za pembe za kondoo waume mbele za sanduku Makuhani saba wangetembea mbele ya makuhani wengine ambao walikuwa wanalibeba sanduku na kutembea kuuzunguka mji.