forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
466 B
Markdown
12 lines
466 B
Markdown
|
# kukwea kutoka Yordani
|
||
|
|
||
|
Hii inarejelea kipindi ambacho Israeli ilivuka Mto Yordani katika nchi kavu.
|
||
|
|
||
|
# Katika siku ya kumi ya mwezi wa kwanza
|
||
|
|
||
|
Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi iko karibu na mwisho wa mwezi wa tatu wa kalenda za Kimagharibi.
|
||
|
|
||
|
# Mawe kumi na mawili ambayo yalichukuliwa katika Yordani
|
||
|
|
||
|
Kila kabila lilitakiwa kuchukua jiwe moja kutoka katika Mto wa Yordani ili Yoshua aweze kutengeneza kumbukumbu ya tukio la kuvuka mto.
|