sw_tn/jos/04/17.md

12 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Mwandishi alikuwa anakiweka wazi kile kilichogawanya Mto Yordani hakikuwa cha tofauti na kile kilichogawanya Bahari Nyekundu kwa ajili ya kizazi kilichotangulia.
# maji ya Yordani yalirudi katika sehemu zake na kujaa hadi katika kingo zake
Mto Yordani ulikuwa ukifurika katika kingo zake na kugharikisha eneo kabla na baada ya Israeli kuvuka katika nchi kavu.
# Siku nne
Siku 4