sw_tn/jos/02/12.md

16 lines
372 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Rahabu anaendelea kuongea na wapelelezi wa kutoka Israeli
# tafadhali mniapie ... Nipeni ishara ya uhakika
Maneno haya yanafanana kimaana kumhusu Rahabu akitafuta uhakika kutoka kwa wapelelezi.
# Nimekuwa mwema kwenu
Neno 'kwenu' linarejelea wapelelezi wawili
# kuhifadhi maisha...mtatuokoa katika kifo
Ni njia ya upole ya kusema "msituue sisi."