# Maelezo ya jumla Rahabu anaendelea kuongea na wapelelezi wa kutoka Israeli # tafadhali mniapie ... Nipeni ishara ya uhakika Maneno haya yanafanana kimaana kumhusu Rahabu akitafuta uhakika kutoka kwa wapelelezi. # Nimekuwa mwema kwenu Neno 'kwenu' linarejelea wapelelezi wawili # kuhifadhi maisha...mtatuokoa katika kifo Ni njia ya upole ya kusema "msituue sisi."