sw_tn/jos/02/08.md

16 lines
448 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walikuwa hawajalala
Hii inarejelea kwenda kulala wakati wa usiku
# Ninajua kwamba Yahweh amewapa ninyi nchi
Neno 'ninyi' linawarejelea watu wa Israeli
# hofu juu yenu imetuingia
"hofu yaweza kuelezewa kwa hali tofauti." " Sisi tunawaogopeni ninyi."
# watayeyuka mbele yenu
Watu wenye hofu wanalinganishwa na kuyeyuka kwa barafu na kutiririkia mbali. Maana zinazokubalika ni 1)watakuwa wadhaifu mbele za uwepo wa Waisraeli 2) watasambazwa.