forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
735 B
Markdown
16 lines
735 B
Markdown
|
# "Ninajua kwamba unaweza kufanya mambo yote, ya kuwa hakuna kusudi lako linaweza kuzuiliwa.
|
||
|
|
||
|
"Ninajua kwamba wewe unaweza kufanya mambo yote. Ninajua kwamba hakuna kusudi lako lolote linaweza kuzuiliwa." Hili ni wazo lile lile limeelezwa kwa jinsi mbili tofauti.
|
||
|
|
||
|
# hakuna kusudi lako linaweza kuzuiliwa
|
||
|
|
||
|
"hakuna yeyote awezaye kuzuia kusudi lako lolote"
|
||
|
|
||
|
# Ni nani huyo ambaye pasipo maarifa huificha mipango?
|
||
|
|
||
|
Matoleo mengi ya kisasa hukubaliano kwamba Ayubu ananukuru maneno ya Mungu kutoka katika 38:1. Wafasiri wanaweza kuamua kuiweka wazi kwamba Mungu alimwuliza swali hili Ayubu, na ya kwamba Ayubu kwa sasa analikumbuka.
|
||
|
|
||
|
# huificha mipango
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana kwamba, kuficha au kutoiwakilisha mipango ya Mungu na ushauri wake.
|