sw_tn/job/40/19.md

12 lines
329 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# milima humpatia chakula
Mwandishi anaongelea juu ya milima kana kwamba walikuwa ni watu wanaoweza kumpatia chakula.
# mimea ya kivuli
Mmea wa kivuli ni mmea wenye maua ambayo huelea juu ya maji katika sehemu zenye maji maji na tope
# mianzi
Majani marefu ambayo hupatikana katika sehemu za maji maji na matope au mabwawa.