# milima humpatia chakula Mwandishi anaongelea juu ya milima kana kwamba walikuwa ni watu wanaoweza kumpatia chakula. # mimea ya kivuli Mmea wa kivuli ni mmea wenye maua ambayo huelea juu ya maji katika sehemu zenye maji maji na tope # mianzi Majani marefu ambayo hupatikana katika sehemu za maji maji na matope au mabwawa.