sw_tn/job/38/25.md

44 lines
845 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Ni nani aliyezitengeneza mifereji
Yahweh anatumia swali hili kutia mkazo kwamba yeye ndiye hufanya mambo haya yote.
# gharika ya mvua
"mbubujiko wa nguvy wa mvua"
# njia
"barabara'' au "sehemu za kupita"
# milipuko ya radi
"sauti ya radi." Hii ni sauti kuu ya radi ambayo hutoka katika mawimbi ya hewa.
# kuifanya mvua inyeshe
Yahweh hutengeneza mifereji ya chemichemi ya maji ili kwamba aweze kutuma maji juu ya nchi sehemu ambazo hakuna watu.
# hakuna mtu aishiye ndani yake
"sehemu isiyo na watu"
# ili kutimiza mahitaji
"ili kwamba mvua iweze kukidhi mahitaji"
# mikoa iliyo kame na yenye ukiwa
"sehemu ambazo hazina mimea au wanyama au watu"
# majani mororo
majani ambayo kwanza yameanza kukua na bado machanga na laini
# kuyastawisha
"kuanza kukua"