sw_tn/job/37/18.md

36 lines
969 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je unaweza kulitandaza anga kama anavyofanya - anga ambalo lina nguvu kama kioo cha chuma kigumu?
"Hauwezi kulitandaza anga kama anavyoweza kwa anga ambalo ni gumu kama kioo cha chuma kigumu"
# nguvu kama kioo cha chuma
Katika siku za Biblia, vioo vilitengenezwa kwa chuma. Elihu anaongelea anga kama anavyoangalia chuma kigumu wakati halitoi mvua.
# chuma kigumu
Hii inarejelea chuma kilichoyeyushwa, na kumwagwa
# Tufundishe sisi kile tunachopaswa kumwambia yeye
'mahali hapa maneno 'sisi' na kiambishi 'tu' yanamrejelea Elihu, Elifazi, Bildadi na Zofari, lakini si Ayubu. Elihu anatumia kirai hiki kwa kejeli.
# kwasababu ya kiza katika akili zetu.
"kwasababu hatufahamu"
# je anapaswa kuambiwa kwamba ninapenda kuongea naye?
"Sitakuwa na mtu wa kumwambia kwamba ninataka kuongea naye"
# Je anapaswa kuambiwa
"je nipate mtu wa kumwambia"
# Je mtu angependa kumezwa?
"Hakuna mtu ambaye angependwa kumezwa"
# kumezwa
"kwa ajili ya Mungu kumwua"