sw_tn/job/36/32.md

8 lines
282 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yeye huuijaza mikono yake kwa mwanga
Maana zinazokubalika ni 1) kwamba Mungu anashikilia vifungo vya mwanga mkononi mwake ili aweze kuzitupa au 2) kwamba Mungu huuficha vifungo vya mwanga katika mikono yake hadi pale alipo tayari kuvitumia.
# ngurumo zake
"Sauti ya mwangaza"