forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
581 B
Markdown
16 lines
581 B
Markdown
|
# Je utajiri wako waweza kukunufaisha, ili kwamba usiwe katika taabu, au nguvu zako zote za uwezo zaweza kukusaidia?
|
||
|
|
||
|
Elihu anauliza maswali haya ili kutia mkazo kwamba pesa na nguvu hazitaweza kumsaidia Ayubu kama atatenda isivyo haki.
|
||
|
|
||
|
# nguvu zako zote za uwezo
|
||
|
|
||
|
"nguvu zako zote kubwa"
|
||
|
|
||
|
# wakati ambapo mataifa hukatiliwa mbali katika nafasi zao
|
||
|
|
||
|
Maana zinazokubalika ni 1)" wakati makundi ya watu yatakapotoweka kutoka katika sehemu yake au 2) " wakati watu watakapowavuta kutoka katika nyumba zao,"
|
||
|
|
||
|
# unajaribiwa kwa mateso
|
||
|
|
||
|
"Mungu anakujaribu wewe kwa kukufanya uteseke"
|