sw_tn/job/36/04.md

12 lines
267 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno yangu hayatakuwa ya uongo;
"Nitasema yale ya kweli"
# angalia
Neno 'angalia' mahali hapa linatia mkazo juu ya kile kinachofuata. "hakika"
# yeye ni mwenye nguvu katika uweza wa ufahamu
Kirai "mwenye nguvu katika uweza" kina maana "kuwa na nguvu zaidi"